October 29 2015 ndio siku yenyewe matokeo ya Urais kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 yametangazwa ambapo Dr. John Pombe Magufuli (CCM) ndio ametangazwa mshindi akiongoza kwa asilimia 58.46, anaemfatia ni Edward Lowassa akiwa na asilimia 39.97.
Aliyeshika nafasi ya tatu ni mama Anna wa ACT aliyepata 0.65%, huku Chief Yemba waADC akipata 0.43%, wa tano ni Hashim Rungwe wa CHAUMMA 0.32%, huku NRA, TLPna UPDP wakipata wote asilimia 0.05
VIDEO LIVE STREAM TOKA NEC BOFYA HAPA KUANGALIA http://www.nec.go.tz/
No comments:
Post a Comment