Thursday, October 29, 2015

FAIZA STILL SHE LOVES SUGU MBUNGE WA MBEYA MJINI (BADO NAMPENDA NI MANENO YAKE FAIZA)

Aliyekuwa mpenzi  wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, Faiza Ally ameamua kuweka wazi kuwa japokuwa wamegombana na mzazi mwenzake  lakini bado anampenda na kumthamini.
FAIZAAAA201555
Kupitia kwenye akaunti yake wa instagram amepost picha ya Sugu na kuandika>>Alie kwambia simpendi nani ???? Nampenda ndio maana nili zaa nae 😍😍😍 na sio lazima nilale nae na kuamka nae ndio mjue nampenda – unaweza unampenda mtu kwa mbali na bado ukasimama kwenye ukweli tu – kwa mimi that’s true love – 📌 – oh yes nampenda na nina mpenzi tunapenda ! So what?????‘aliandika
julio 5

No comments:

Post a Comment